HARUNA Shamte, beki mpya ndani ya Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa moto wake haupoi msimu ujao...