Top 10 Bora ya Wanaoibeba Hip Hop TZ
UKIWEKA kando Bongo Fleva, Muziki wa Hip Hop Bongo kwa zaidi ya miaka 20 umeweza kusimama bila kupotea.
Wapo wasanii mmoja mmoja wanaoendelea kuutetea muziki huu ambao unagusa hisia na kueleza uhalisia huo uliopo mitaani kwetu…
