Mpenzi msomaji wa XXLove, tunakutana Jumatatu nyingine kwa rehema za Mwenyezi Mungu. Wiki hii tutaangazia hisia za kimapenzi zinavyotakiwa kuoneshwa...