Joel Lwaga ‘Aache Kabisa’, Alichokifanya Campus Night ni Balaa – Video
JOEL LWAGA ni fundi wa kuimba aisee! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana na umahiri wake wa kucheza na jukwaa na kuteka hisia za wasikilizaji au mashabiki wa nyimbo zake hasa anapokuwa jukwaani akitumbuiza.
Mwimbaji wa…
