Idd Mosi ndani ya Dar Live… Sikinde, Msongonani zaidi?
Msondo Ngoma Music Band
Na Elvan Stambuli
UKIWAULIZA wapenzi wa Bendi ya Mlimani Park Ochestra au wana Sikinde Ngoma ya Ukae ni nani nguli wa sauti katika kuimba Rhumba, hawatasita kusema kuwa ni Hassan Rehani Bitchuka ‘Super Sterio’.…
