Mwalimu Afutwa Kazi Baada Ya Kushiriki Picha Mtandaoni Akiwa na Nguo za Kuogelea
HASIRA inaonekana kuunganisha jumuiya ya walimu huko Kolkata siku hizi, huku mitandao ya kijamii ikitawaliwa na madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya Chuo Kikuu cha St. Xavier, ambapo mwalimu wa kike "alilazimika" kujiuzulu kwa kushiriki…
