The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Iran

Mtambo wa Nyuklia Iran Washambuliwa

MAELFU ya mashine zinazotumika kurutubisha nyenzo za nyuklia zimeharibiwa katika shambulio lililotokea kwenye mtambo muhimu, Jumapili, maafisa wa Iran wamesema. Alireza Zakani, mkuu wa kituo cha Utafiti cha Bunge la Iran, amesema…

Iraq Yatoa Hati Kumkamata Trump

JAJI  katika Mahakama ya uchunguzi ya Baghdad ametoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Donald Trump, juu ya mauaji ya Jenerali wa Iran, Qasem Soleimani mwaka jana. Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Iraq…

Iran Yaigomea Tena Marekani

SERIKALI ya Iran imesema kuwa haitakabidhi kisanduku cha kunakili safari ya ndege ama ''Black box'' ya ndege ya Ukraine iliyopata ajali na kuua watu 176, kwa kiwanda kilichotengeneza ndege hiyo au kwa Marekani. Ndege hiyo…