×

Tag: jacob zuma

Kesi ya Zuma Kuanza Kusikilizwa Leo

KESI ya ufisadi dhidi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma inatarajiwa kuanza leo, baada ya kuahirishwa mara...

READ MORE

RAIS ZUMA KUJICHIMBIA STUDIO KUREKODI ALBAMU

RAIS Mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma, anakusudia kuingia studio hivi karibuni, kurekodi albam ambayo itakuwa na nyimbo za mapambano....

READ MORE

Rais Jacob Zuma Afika Mahakamani Kusikiliza Kesi Yake

Kesi ya rushwa ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anayekabiliwa na tuhuma 16 zikiwemo za udanganyifu, ufisadi na kutakatisha...

READ MORE

Bunge Lamchagua Cyril Ramaphosa Kuwa Rais wa Afrika Kusini

BUNGE la Afrika Kusini limemchagua Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril, kuwa Rais wa mpito wa nchi hiyo, mpaka...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Anusurika Kuong’olewa Madarakani

Rais Jacob Zuma aponea chupchup kung’olewa madarakani baada ya Wabunge wengi wa chama tawala, kumuunga mkono kura za kutokuwa na...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Kawatumbua Mawaziri Wake 15

  Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake 15 akiwemo Waziri wa Fedha Pravin Gordhan pamoja na naibu...

READ MORE