RAY AJITOLEA MAISHA KWA MWANAYE
MWIGIZAJI wa kiume wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa, mwanaye aliyezaa na mwigizaji Chuchu Hans aitwaye Jaden amekuwa ndiye maisha yake kwa sababu sasa kila anachokifanya ni kwa ajili yake na amembadilisha…
