SIKU WALIYOZALIWA WANANGU ILIKUWA MBAYA
NAIKUMBUKA siku hiyo, hata naogopa kuitaja. Ni siku waliyozaliwa wanangu mapacha - Kisiki na Mpingo.
Niliondoka asubuhi ya siku hiyo kwenda ofisini kutimiza majukumu yangu ya kila siku. Nilimuaga mke wangu aliyekuwa…
