ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Yaliisha, usiku ukaingia. Baba alikaa sana nje siku hiyo, najua alikuwa akimlenga kaka Cheni asitoke. Ilipofika saa...