Jamani Muwe Makini na Antena
Na Haruni Sanchawa
“Jamani muwe makini na antena zenu za tv wakati wa kuzirekebisha, hasa kwa wale ambao hawana utaalam na vitu vya umeme.”
Hiyo ni kauli ya Abrahaman Juma, mkazi wa Mtoni Kwaazizi Ally, Wilaya ya Temeke jijini Dar es…
