×

Tag: jambazi

Jambazi Ajisalimisha, Aahidi Kuwa Raia Mwema

Mwanaume mmoja, Faida Komanya (34) mkazi wa Kijiji cha Bugalagala Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita ambaye alikuwa akituhumiwa na Jeshi...

READ MORE

Mali za Jambazi Maarufu Zauzwa – Video

Uuzaji wa mali za jambazi maarufu wa Marekani, Al Capone umekusanya jumla ya dola milioni 3 za Kimarekani (£ 2.2m)...

READ MORE

Rais Samia Awalilia Askari Waliouawa Kwenye Shambulio Dar

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia za askari watatu na askari mmoja wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA...

READ MORE

Aliyejihami kwa Bunduki Aua Askari Wawili Dar – Video

MTU mmoja aliyejihami kwa bunduki ameuawa baada ya kuwaua askari wawili katika majibizano ya risasi mkoani Dar es salaam. Kwa...

READ MORE

Breaking: Jambazi Aua Askari Wawili Dar, Naye Auawa

HALI ya taharuki imezuka katika eneo la Barabara ya Ali Hassan Mwinyi (karibu na Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa), zilizopo Kinondoni...

READ MORE

Dar: Jambazi Auawa Akipora Simu

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limemuua mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi baada ya kumpora simu mama aliyekuwa akitembea...

READ MORE

Jambazi Akamatwa Akitubu Dhambi Zake Kanisani

  Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela...

READ MORE

Jambazi Sugu Aliyewashambulia Polisi Auawa – Video

MTU mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi ameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya baada ya majibizano ya risasi na jeshi...

READ MORE

Askari Aliyefanya Kazi ya Upelelezi Wakati ni Jambazi

DUNIANI wapo wahalifu wengi wa matukio mbalimbali lakini  Afrika Kusini haiwezi kumsahau jamaa huyu anayeitwa Andre Stander ambaye alikuwa askari...

READ MORE

Mfahamu Jambazi wa Kimataifa Aliyefariki Akibadili Sura

ANAFAHAMIKA kwa jina la Amado Carrillo Fuentes, alizaliwa Desemba 17, 1956 huko Sinaloa, Guamuchil nchini Mexico na anafahamika zaidi kama...

READ MORE

Majambazi Watano Walivyouawa Tanga

Polisi mkoani Tanga wamewaua watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliotaka kuvamia na kupora mishahara ya wafanyakazi katika shamba la...

READ MORE

Polisi Yaua Jambazi Tanga

JESHI la Polisi wilayani Muheza mkoani Tanga limemuua kwa kumpiga risasi Mkazi wa Dar es Salaam, Mwinyiheri Nuhu, likidai alikuwa...

READ MORE

Jambazi Sugu wa Magari Akamatwa Akitorokea Uganda

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata mtu mmoja aitwaye Peter Thomas Nyanchiwa, anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu baada ya kuiba...

READ MORE

JAMBAZI SUGU WA MABENKI NA MAJENEZA AGEUKIA UCHUNGAJI!

John Kibera, raia wa Kenya,  ambaye sasa ni mchungaji alipitia maisha ya uhalifu tangu akiwa mdogo. Alianzia  wizi katika mabenki...

READ MORE

Breaking News: Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana Septemba 12, maeneo ya Kivule Chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu...

READ MORE

VIDEO: Ndugu Wasisitiza Hawatamzika Ndugu Yao Aliyepigwa Risasi na Polisi Mpaka Kieleweke

  Familia ya Salum Almasi, Imamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, aliyepigwa risasi na polisi...

READ MORE