×

Tag: jeneza

Wasiojulikana Watokomea na Mwili wa Marehemu

Tukio lisilo la kawaida limetokea katika Kitongoji cha Kipondoda, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi la mtoto Christina...

READ MORE

Jeneza Lililozua Kizaazaa Arusha, Mmiliki Afungukia Utapeli – Video

Muda mfupi baada ya tukio lisilo la kawaida kuzua kizaazaa mkoani Arusha baada ya jeneza lenye mkungu wa ndizi ndani...

READ MORE

Taharuki! Wakuta Jeneza Nje ya Nyumba

Wenyeji wa kijiji cha Karando wameingiwa na hofu baada ya kuamka asubuhi na kupata jeneza lililokuwa na kuku na rozari...

READ MORE

Mzee Aliyejichimbia Kaburi Sasa Kajinunulia Jeneza

MWANAUME mwenye umri wa miaka 74 kutoka Maragua, Kaunti ya Murang’a, nchini Kenya ambaye alitamba mitandaoni baada ya kujichimbia kaburi...

READ MORE

Taharuki! Familia Yakuta Jeneza Mlangoni

Familia katika kijiji cha Ebunyang’anyi kata ya Bunyala, Kakamega nchini Kenya imepatwa na mshtuko baada ya kuamka na kupata jeneza...

READ MORE

Baba Agomea Msiba wa Mtoto Wake, Arudishiwe Uhai

BABA mzazi wa kijana Kusekwa George mkazi wa mtaa wa Ihushi kata ya Kishiri, Nyamagana Mwanza, amekataa kuhudhuria msiba na...

READ MORE

Waombolezaji wa Kulipwa Wazua Sekeseke Msibani, Mfiwa Ajifungia Chooni

  TAHARUKI imeibuka katika maeneo la Lugari, Kakamega nchini Kenya baada ya vijana wanaolipwa ili kuomboleza msiba, kuzua sekeseke kwa...

READ MORE

Mwanaume Aliyedaiwa Kufa ‘Afufuka’

Mwaume mmoja kutoka Kaunti ya Kericho nchini Kenya amewashangaza wengi na kuibua gumzo mitandaoni baada ya kudaiwa kufufuka akiwa katika...

READ MORE

Mbeya: Hofu Yatanda Mwalimu Kuchinjwa!

HOFU kuu imetanda wilayani Kyela mkoani Mbeya kufuatia tukio la kutisha la mauaji ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwenge...

READ MORE

Usichokijua  Kuhusu Watu Wanaocheza Na Majeneza

KATIKA jamii zetu hususan Tanzania, msiba umekuwa ukiombolezwa kwa huzuni zinazotawaliwa na vilio kutoka kwa wafiwa ambao ni ndugu na...

READ MORE

Mgogoro na Mkewe… Mume Ajichongea Jeneza

CHANZO ni kuwa na mgogoro na mkewe, Sylvester Mihayo (45) amefikia uamuzi mgumu wa kujichongea jeneza ili siku akifa mambo...

READ MORE

Wauza Majeneza Wasababisha Msongo wa Mawazo kwa Wagonjwa

WAFANYABIASHARA ya kuuza majeneza karibu na maeneo ya hospitali wamepewa hadi Machi kuondoa bidhaa zao karibu na hospitali moja iliyopo...

READ MORE

Mbeya: Jeneza Latelekezwa Sokoni, Mbele ya Duka – Video

WANANCHI wa eneo la Soko la Soweto wameuanza mwaka kwa taharuki ya aina yake baada ya kuamka asubuhi siku ya...

READ MORE

Mrembo Ajinunulia Jeneza Mil 22

KAMA ulikuwa unadhani warembo wa Bongo pekee ndiyo wamefyatuka, basi unajidanganya kwa sababu kuna fyatu zaidi yao, Risasi Mchanganyiko lina...

READ MORE

Jeneza la Simba, Yanga Lilivyozua Gumzo Taifa

MASHABIKI wa Simba jana waliendelea na mbwembwe zao kwenye mechi dhidi ya Yanga baada ya kuingia na jeneza lenye bendera...

READ MORE

Aamka, Akuta Jeneza Nje ya Nyumba!

MBEYA: NELSON Edson, mkazi wa Mtaa wa Nsalaga Kata ya Nsalaga jijini hapa amejikuta kwenye taharuki kubwa baada ya kuamka...

READ MORE

TAHARUKI DAR! MAJENEZA YAPOTEA KIMAAJABU USIKU MNENE – VIDEO

Katika hali isiyo ya kawaida, Wezi wamevamia duka moja lililopo Mwananyamala mtaa wa Msisiri B Jijini Dar es salaam ,majira...

READ MORE

Breaking News: Mbaroni kwa Kuiba Majeneza Dar

KIJANA aliyetambulika kwa jina moja la Boniface mkazi wa Mwananyamala kwa Msisiri jijini Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la...

READ MORE

Afrika Kusini: Wazungu Waliomuingiza Kijana Mweusi Kwenye Jeneza Wafikishwa Kortini

AFRIKA KUSINI: Wakulima wawili wazungu watafikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini, baada ya kutuhumiwa kuwa walimsukuma kijana mmoja mweusi na kumuingiza...

READ MORE