Jeshi la Polisi Lafanikiwa Kusuluhisha Mgogoro wa Kugombania Mifugo, Mara
POLISI kata wa kata ya Isenye Wilaya ya Serengeti mkoani Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Method Kagina, amefanya jitihada za kusuluhisha mgogoro wa kugombania mifugo kati ya mjane Shoma Maduhu mkazi wa kijiji cha Nyiberekera na ndugu…
