Jinsi ya kupata mtoto wa kiume au kike
WANANDOA au hata wasio na ndoa hujiuliza maswali haya. Nini nifanye ili nipate mtoto wa kike au kiume? Je, kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza kupata mtoto wa kiume au kike?…
