Maandamano Yafanyika Ufaransa Kupinga Sheria ya Usalama wa Taifa
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji kadhaa nchini Ufaransa kupinga muswada wa usalama ambao wanasema utawazuia watu kurekodi na kuchapisha video zinazohusiana na ukatili wa polisi.
Kulingana na waandaaji wa…
