×

Tag: joe biden

Rais wa Marekani, Joe Biden Aliomba Bunge Kuidhinisha Msaada wa Silaha

Rais wa Marekani, Joe Biden, Jumatano ameliomba bunge la Marekani, kuidhinisha msaada zaidi wa silaha kwa Ukraine, akisema kushindwa kupitisha...

READ MORE

Biden Kutoa Hotuba ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja Tangu Vita vya Ukraine, Akiwa Poland, Jumanne

Rais wa Marekani, Joe Biden anajitayarisha kwa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uvamizi wa Russia nchini Ukraine kwa hotuba katika...

READ MORE

Marekani Yaadhimisha Miaka 21 Tangu Shambulio Kubwa la Kigaidi ‘Septemba 11’

Rais wa Marekani Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris wamewaongoza Wamerekani kuadhimisha miaka 21 tangu kutokea kwa shambuliao...

READ MORE

Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden Akutwa na Covid-19, Mmewe Yupo Salama

IKULU ya marekani (White House) imethibitisha kuwa mke wa Rais huyo wa Marekani Jill Biden Alipatikana na maambukizi ya virusi...

READ MORE

Rais wa China Amuonya Rais wa Marekani, Amtahadharisha Asicheze na Moto

RAIS wa China Xi Jinping amemuonya Rais mwenzie wa Marekani Joe Biden achukue tahadhari kuhusu kuchezea moto kwa kujiingiza katika...

READ MORE

Kesi ya Trump Kuanza Leo, Mawakili Wake Wakikosoa

Baraza la Seneti la Marekani leo litaanza mchakato wa kusikiliza kesi inayomkabili rais wa zamani Donald Trump, wakati timu ya...

READ MORE

Biden Kusitisha Mauzo ya Silaha UAE na Saudi Arabia

Utawala wa Rais Joe Biden umesitisha kwa muda uuzaji wa silaha kwa mataifa ya Ghuba. Hatua hii inazuia mabilioni ya...

READ MORE

Biden Aanza Kazi Kwa Kutengua Sera za Trump

RAIS  mpya wa Marekani Joe Biden ameanza kutengua sera kadhaa muhimu za Donald Trump, saa chache baada ya kuapishwa. Rais...

READ MORE

Biden Awa Rais wa 46 wa Marekani – (Picha +Video)

Joe Biden amekula kiapo na kuwa rais wa 46 wa taifa la Marekani. Biden amekula kiapo mbele ya jaji wa...

READ MORE

VIDEO: Biden Kuapishwa Rais wa 46 wa Marekani

 RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden, ataapishwa leo Januari 20, 2021 na kuwa rais wa 46 wa Marekani akichukua...

READ MORE

Polisi Watajwa Kushirikiana na Waliovamia Bunge

  TUKIO la Marekani la wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge limezua sura mpya baada ya baadhi ya Wawakilishi kusema...

READ MORE

Trump: Biden Atamkasirisha Mungu

RAIS  wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa “Joe Biden anakwenda kinyume na Mungu”. Trump ameyasema hayo kufuatia kauli ya Biden ...

READ MORE