
Browsing Tag
JOEL LWAGA
Joel Lwaga Aachia Video Mpya “Waweza”
Katika kazi yake ya kumtumikia Mungu na kulitangaza neno lake la wokovu kupitia nyimbo za Injili, Joel Lwaga hajawahi kuachia wimbo wa kawaida, mara zote amekuwa akiachia mawe... Na Pasaka hii ameachia jiwe jipya lililojaa…
Joel Lwaga ‘Aache Kabisa’, Alichokifanya Campus Night ni Balaa – Video
JOEL LWAGA ni fundi wa kuimba aisee! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana na umahiri wake wa kucheza na jukwaa na kuteka hisia za wasikilizaji au mashabiki wa nyimbo zake hasa anapokuwa jukwaani akitumbuiza.
Mwimbaji wa…
Anajua Aisee! Alichokifanya Joel Lwaga Utafurahi Mwenyewe – Video
JAMAA anajua aisee! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana na umahiri wake wa kucheza na jukwaa na kuteka hisia za wasikilizaji au mashabiki wa nyimbo zake hasa anapokuwa jukwaani akitumbuiza.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Joel…