Bosi wa Tanapa Mwakilema Ateuliwa Kumrithi Jokate Wilaya ya Korogwe
Rais Samia Hassan leo Oktoba 3, 2023 amemteua William Simon Mwakilema, Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga.
Mwakilema anachukua nafasi ya Jokate Mwegelo…
