×

Tag: Jose Mourinho

Mourinho Ampa Makavu Kocha wa Timu ya Taifa ya Uingereza Kuhusu Abraham

KOCHA wa klabu ya AS Roma ya nchini Italia Mreno Jose Mourinho ameibuka na kumpa makavu kocha mkuu wa Timu...

READ MORE

MOURINHO Hadhani Kama Tammy Abraham Atarudi England

WAKATI mshambuliaji wa kikosi cha AS Roma, Tammy Abraham akitajwa kuwa kwenye hesabu za kutua ndani ya kikosi cha Arsenal...

READ MORE

Mourinho Aweka Rekodi, Atinga Fainali Tatu Kubwa Ulaya

KOCHA wa sasa wa Klabu ya AS Roma ya nchini Italia Jose Mourinho maarufu kama ‘The Special One’ raia wa...

READ MORE

Kane Amshukuru Jose Mourinho

MSHAMBULIAJI mahiri wa Tottenham, Harry Kane amesema ilikuwa ni furaha kubwa kwake kufanya kazi na kocha Jose Mourinho. Mourinho alitimuliwa...

READ MORE

Spurs Yamtimua Kocha Mourinho

KWA Mujibu Sky Sports, Kocha Jose Mourinho ametimuliwa na Klabu ya Tottenham Hotspur kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo kufuatia...

READ MORE

Kuelekea London Dabi… Mourinho Aikejeli Arsenal

BOSI wa Tottenham, Jose Mourinho amesema kwa sasa haangalii chini bali anaangalia juu kwani wapinzani wake Arsenal wapo chini akiwa...

READ MORE

Jose Mourinho: Ushindi Wa Liverpool Ni Wa Kutengenezwa

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa ushindi ambao wameupata wapinzani wake Liverpool kwenye mchezo wao wa...

READ MORE

Wakali Watakowania Tuzo za Karne Duniani, Wamo Al-Ahly

CRISTIANO RONALDO, Lionel Messi, Ronaldinho na Mohamed Salah wanawania tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 21 kwenye Tuzo za...

READ MORE

Mourinho Awataja Walioimaliza Man United

KOCHA wa Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa aliwatuma mabeki wake, Serge Aurier na Sergio Reguilon kuhakikisha wanadili na Marcus Rashford...

READ MORE

Mourinho: Carrick Ameniita Man United

Mourinho: K OCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho amesema kuwa mtu pekee aliyemwalika kwenye Dimba la Old Trafford ni Michael...

READ MORE

Mourinho Apewa Dili Man Utd vs Liverpool

JOSE Mourinho anatarajiwa kuwa mchambuzi wa mchezo wa kesho Jumapili kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool. Uamuzi huo umechukuliwa...

READ MORE

Mourinho Njiani Kupewa Shavu Tottenham

JOSE Mourinho ametajwa kuwa ni mmoja wa wanaopewa nafasi ya kuchukua mikoba ya Mauricio Pochettino katika kuinoa Tottenham.   Pochettino...

READ MORE

Mourinho: Nilistahili Kufukuzwa Man U

JOSE Mourinho amekiri kuwa alistahili kufukuzwa ukocha katika kikosi cha Manchester United, lakini akasisitiza kuwa hafurahii kuwaona wakiendelea kuteseka chini...

READ MORE

LOUIS VAN GAAL: SOLSKJAER, MOURINHO WOTE SAWA

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Louis van Gaal, amesema kuwa Manchester United hawakufanya lolote kumtoa kocha Jose Mourinho na...

READ MORE

Mourinho Ana Saa 24 Man United

MUDA wa Kocha Jose Mourinho kuendelea kuwepo ndani ya Man­chester United umebaki mfupi na hiyo inatokana na Mreno huyo kuendelea...

READ MORE

Mourinho: Mimi Ni Bora England

  MANCHESTER United wamekuwa kwenye hali mbaya baada ya kupoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye Ligi Kuu England.   Kocha...

READ MORE

Mourinho Vitani na Mabosi Wake

LICHA ya kutoweka wazi juu ya mchakato wa ndani ulivyo lakini habari ni kuwa Kocha Jose Mourinho amekasirishwa na kitendo...

READ MORE

Martial: Familia Kwanza, Man U Baadaye

KIUNGO mshambuliaji Anthony Martial ametetea uamuzi wake wa kuchukua muda mrefu kuwa na familia yake kuliko kurejea kwenye majukumu yake...

READ MORE

Fellaini Asaini Kandarasi Kubaki Manchester United, Hadi 2020

KIUNGO wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Ubelgiji, Marouane Fellaini amesaini mkataba wa kuitumikia klabu yake hiyo hadi...

READ MORE

Mourinho Azidi Kukomaa na Sanchez Mpaka Kieleweke

Meneja wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amewasili katika uwanja wa Old Trafford siku ya Jumatano asubuhi huku ikiwa...

READ MORE

Luizi: Griezmann Aliitumia Man U Kupiga Dili

MCHEZAJI wa Atletico Madrid, Filipe Luis, amesema anaamini mchezaji mwenzake, Antoine Griezmann, aliwababaisha Manchester United ili wamthamini zaidi na hivyo...

READ MORE

Rashford Akianza Tu, Anatupia

MANCHESTER United imeanza msimu vizuri, kume­kuwa na matumaini makubwa kwa mashabiki wa timu hiyo kuwa timu yao itafanya vizuri kutokana...

READ MORE

MOURINHO AMETUMIA BILIONI 384 KUSAJILI VIUNGO WAKABAJI

DIRISHA la usajili bado halijafungwa, presha kubwa imekuwa ikiongezeka kwa makocha hasa wale wa timu kubwa. Katika Ligi Kuu ya...

READ MORE

Mourinho: Sina Mpango Na Bale Kwa Sasa

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amese­ma hana mpan­go wa kumsa­jili mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale, kwenye kipindi hiki...

READ MORE

SHABIKI MWANAMKE ASEMA ‘JAMANI NAMPENDA MOURINHO MPAKA NAUMWA’

Shabiki wa soka, Vivien Bodycote, 59, ameamua moyo wake ufanye kazi mbili kwa wakati mmoja, kwanza ni kusukuma damu, pili...

READ MORE

Jose Mourinho Anamwaga Fedha

HABARI kuwa kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic anatarajiwa kusa­jiliwa na Kocha Jose Mourinho ndani ya Manchester United kwa dau nono,...

READ MORE

Jose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea

Jose Mourinho. Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo...

READ MORE