×

Tag: Joseph Omog

Omog: Sasa Nitapumzika Kwa Amani

BAADA ya Joseph Omog kufungashiwa virago ndani ya Simba na kuondoka haraka nchini kwenda kwao, mwenyewe amesema kwa sasa atapata...

READ MORE

Lwandamina Vs Omong Rekodi Zinasema

LEO Jumamosi Yanga inaikaribisha Simba katika mchezo namba 58 wa Ligi Kuu Bara katika raundi ya nane ya ligi hiyo...

READ MORE

Omog Ampa Okwi Mabao 60 Msimu Huu

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, amewapa mtihani washambuliaji wake wakiongozwa na Emmanuel Okwi na John Bocco baada ya kusema...

READ MORE

Omog: Namtafutia Niyonzima Kamusoko Mpya

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, amesema kiungo wake mpya, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, atapewa mtu...

READ MORE

Omog: Nimemaliza Kazi, Waleteni Yanga

KOCHA wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, amesema kuwa, wiki hii ya mwisho katika kambi yao ya Afrika Kusini, atakuwa akiwapa...

READ MORE

Omog: Yaani, Ligi Ianze Hata Kesho

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, amesema kuwa, kutokana na kila timu zitakazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu...

READ MORE

Simba Usajili Huu Mahitaji ya Kocha?

KWENYE mitandao ya kijamii mtu mmoja jana alikuwa anapitisha ujumbe kwa njia ya utani akipanga kikosi kizima cha Simba tena...

READ MORE

Straika Mghana Anatua Simba Leo

  KAIMU Makamu wa Rais wa Simba, Idd Kajuna, Jumanne iliyopita alienda nchini Ghana kwa ajili ya kumalizana na straika...

READ MORE

Omog: Achana na Ndege, Tunataka Ubingwa Sisi

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI | DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, amesema kuwa bado malengo...

READ MORE

Joseph Omog: Sikuamini Kama Tutawafunga Mbao

Said Ally| Championi | Dar es Salaam KOCHA wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, ameweka wazi kwamba kitendo cha...

READ MORE

Omog: Tutachukua Makombe Matatu Msimu Huu

Simba wakiendelea kufanya mazoezi na Kocha wao Joseph Omog. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam Championi Jumatano Toleo na 1955 KOCHA...

READ MORE