The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

JPM

Magufuli Ateua Baraza la Mawaziri

RAIS   John Magufuli, Desemba 5, 2020,  ameteua baraza la mawaziri ambapo orodha hiyo imesomwa   na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni Elias Kwandikwa,  Wizara Ofisi ya…

Ufaransa Yampongeza JPM Kuingia Uchumi wa Kati

BALOZI  wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier, leo Desemba 2, 2020, amemkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi, barua toka kwa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliyomwandikia Rais  John Magufuli kumpongeza kwa kuiwezesha…

Ndugai Awaapisha Polepole, Lulida

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo Novemba 30, 2020,  amewaapisha wabunge wawili walioteuliwa na   Rais John Magufuli, ambao ni Humphrey Polepole na Bi Riziki Lulida   kwenye viwanja vya bunge…

Harmo Afunguka Kofia ya JPM

STAA wa muziki na bosi wa lebo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul ‘Harmonize,’ amefunguka kupewa heshima ya kofia na RaisJohn Magufuli, kwenye kampeni wilayani Chato, Geita. Harmo amesema kuwa ni heshima kubwa…