The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

juventus

JUVENTUS YA RONALDO YAPIGWA 3-0

MABINGWA mara nne wa Kombe la Italia, Juventus, usiku wa kuamkia jana walijikuta wakipoteza mchezo na kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya kufungwa mabao 3-0 na Atalanta. Licha ya kumuanzisha staa wao katika mchezo huo…

Higuain Kukiwasha Chelsea

DIRISHA la usajili mdogo wa Januari linaendelea na taarifa ni kuwa Klabu ya Chelsea hadi kufikia jana mchana, ilikuwa katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumsajili mshambuliaji Gonzalo Higuain kutoka AC Milan. …