Serikali yapiga marufuku uchapishaji wa Kadi za Xmass na Mwaka Mpya
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Christmas na Mwaka Mpya kwa gharama za serikali/umma, kwa mwaka huu.
Balozi Sefue, ameelekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha…
