×

Tag: kagera

Rais Samia Aagiza Aliyeokoa Watu 26 Aingizwe Jeshini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amempigia simu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kuagiza kuwa kijana...

READ MORE

Live: Bukoba: Miili 19 Waliofariki Ajalini Inaagwa Muda Huu, Vilio Vyatawala-Video

KUTOKA Bukoba mkoani Kagera Miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya Ndege ya Shirika la Precision Air inaagwa muda...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Makabidhiano ya Uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan anashiriki makabidhiano ya uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji wa Kyaka-Bunazi Mkoani Kagera

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Kyaka-Bunazi mkoani Kagera leo Juni...

READ MORE

Rais Samia: Nimevutiwa Sana na Ajira Niliyoikuta Hapa Kiwanda cha Sukari – (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema amevutiwa sana na kiwango cha ajira kilichotolewa na...

READ MORE

RC Mbughe Amshukuru Rais Samia kwa Kupeleka Bilioni 351 Mkoani Kagera

MKUU wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbughe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Kizza: Inonga, Onyango ni Mabeki Bora

Baada ya kupeleka msiba mzito katika mitaa ya msimbazi, mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Burundi Hamis Kizza anayekipiga katika klabu...

READ MORE

NBC Yatoa Vitanda vya Tsh Mil 14 Shule ya Sekondari Tunamkumbuka

Bukoba, Kagera: Disemba 14, 2021: Benki ya NBC imetoa msaada wa vitanda sitini (60) kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa Risasi Kagera

MTU mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika vurugu zilizotokea kati ya wakulima na walinzi wa wawekezaji wa mifugo...

READ MORE

Kagera Sugar Yaichapa Mtibwa Sugar

BAO pekee la mshambuliaji Dickson Mhilu dakika ya 39 limewapa wenyeji Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar...

READ MORE

Yanga Yaitungua Kagera Sugar

FT: Kagera Sugar 0- Yanga Yanga wanasepa na pointi tatu mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

READ MORE

Mtibwa, Kagera Hali Tete Ligi Kuu Bara

Klabu ndugu za Mtibwa Sugar na Kagera Sugar zimepoteza mechi zao za ligi kuu Tanzania bara jana na hivyo kuleta...

READ MORE

Amuua Mama’ake Mzazi kwa Kumkata Shingoni Kisa Utajiri

  Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama...

READ MORE

Rekodi Zaibeba Yanga SC Dar leo

JESHI la Mrundi Cedric Kaze leo linatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuvaana na Kagera Sugar...

READ MORE

Magufuli Aitaka Wizara Kuanza Uchimbaji Nickel Haraka – Video

RAIS John Magufuli leo Jumanne Januari 19, 2021, ameitaka Wizara ya Madini kuhakikisha makubaliano kati yake na kampuni ya LZ...

READ MORE

Rais Magufuli Aongea na Wananchi wa Muleba, Kagera – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2021 ameanza ziara ya kikazi mkoani Kagera ambapo ataweka mawe ya msingi na...

READ MORE

Baba Amvunja Uti wa Mgongo Mwanaye Kisa Kuzurura

POLISI  mkoani Kagera, inamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa...

READ MORE

Yusuph Mhilu: Tumeanza Kujenga Hali ya Kujiamini

YUSUPH Mhilu mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Meck Mexime amesema kuwa taratibu...

READ MORE

JPM Aagiza Mkuu Shule Iliyoteketea Kagera Aachiwe

SELEMAN ABDUL, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais Dkt. John Pombe...

READ MORE

Breaking: Wanane Wafariki Ajalini Muleba, Kagera

WATU wanane, akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja ambaye mama yake amenusurika, wamepoteza maisha mkoani Kagera na wanne hali...

READ MORE

Licha Ya Wachezaji Kuishi Kifalme, Kagera Sugar Inapata Tabu VPL

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama, Tanzania tumeungana na zaidi ya mataifa 170 kujikinga na maambukizi ya Virusi vya...

READ MORE

Mashabiki Kagera Sugar Wakamatwa, Benchi la Ufundi Lavunjwa

MASHABIKI wa timu ya Kagera Sugar wakamatwa na jeshi la polisi wakiandamana kumpinga kocha wa timu hiyo,  Meck Maxime. Timu...

READ MORE

Kagera Sugar, Mwadui warejea Ligi Kuu

KAGERA na Mwadui zimerejea rasmi kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mechi zao wa mtoa jana Jumamosi dhidi ya...

READ MORE

Nyosso apewa Makambo, Ngassa

KATIKA kuhakikisha anabakiza pointi tatu nyumbani, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema tayari amekiandaa vyema kikosi chake kupambana...

READ MORE

Mvua Yaezua Paa Sekondari Bukoba, Shule Yafungwa

MVUA kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo ikiambatana na upepo mkali, imesababisha madhara makubwa katika Shule ya Sekondari ya Bukoba...

READ MORE

Okwi Adai Hatamsahau Kaseja Maishani

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, amesema kuwa licha ya timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara, kamwe hawezi...

READ MORE

Kaseja Afunguka Kuinyaka Penalti ya Okwi – Video

Goli kipa wa Kagera Sugar amesema kudaka penalti yeye kwake sio suala geni ni kawaida sio amedaka penalti ya Okwi...

READ MORE

JUMA KASEJA AWATIBUA SIMBA TAIFA

KIPA wa zamani wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Kaseja ‘Tanzania One’ leo Jumamosi amewatibua Simba baada...

READ MORE

Breaking News: Mvua Ya Mawe Yaleta Maafa Kagera

KAYA 150 za mkoani Kagera leo Jumamosi zimejikuta paa za nyumba zao zikiezuliwa na mvua ya mawe ambayo inaendelea kunyesha...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Ajali ya Basi Kagera

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kugongwa na Basi la Kampuni ya Frester lenye...

READ MORE

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa kosa la kumpiga shabiki anayeaminika...

READ MORE

FULL TIME: Kutoka Uwanja wa Kaitaba: Kagera Sugar 0-2 Simba SC

FULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo, Simba wanaibuka na ushindi wa mabao 2-0. Dk ya 90+5: Kipa wa Kagera anauwahi mpira...

READ MORE

Mlipuko Waua Wanafunzi Sita Kagera

    Wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kihinga mkoani Kagera, wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa baada...

READ MORE

Kagera Sugar Wampotezea Bokungu

TIMU ya soka ya Kagera Sugar tayari imefunga zoezi la usajili wake wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao wa...

READ MORE

Yanga: Uhakika Mbaraka Yusuph Anatua Jangwani

Sweetbert Lukonge na Musa Mateja | CHAMPIONI YANGA imesema ina uhakika wa kumsajili mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yusuph na...

READ MORE

Breaking News: Maamuzi ya TFF Kuhusu Rufaa ya Kagera, Pointi 3 za Simba (VIDEO)

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemaliza kikao chake na Simba inaendelea...

READ MORE