Kamera Iliyopiga Picha ya Kwanza Duniani Iko Mnadani
KAMERA ya zamani iliyotengenezwa mwaka 1840 itauzwa kwa pauni 70,000 katika mnada huko Berksshire, nchini Uingereza.
Kwa ujumla zipo kamera sita za zamani zaidi duniani. Mtengenezaji wa filamu, William Henry Fox Talbot,…
