Tuko Tayari Kwa Ushindi Dhidi ya Mbao – Dismas Ten
LIGI Kuu Tanzania Bara raundi ya 12 inatarajiwa kuendelea siku ya Jumapili ambapo miongoni mwa michezo itakayochezwa siku hiyo ni mabingwa watetezi Yanga watakaopambana na Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mechi nyingine ni…
