The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

katuni

Najua zilikokwenda zile kontena

Yaani we acha tu. Nimekaa hapa nafikiria wapi zilikopotelea kontena mia tatu arobaini na tisa. Inahitaji akili sana kupoteza kontena zote hizo. Lakini mimi kama mimi, nina mawazo ya kusaidia kujua wapi kontena hizi zimekwenda, uzalendo…