Khaa! Mrembo ajitosa kwenye tope kusherehekea ushindi wa Magufuli
Mrembo huyo akijigaragaza kwenye matope.
SIJALI! Mrembo mmoja mkazi wa mjini Tunduma wilayani Momba mkoani hapa ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amejikuta akiwa sinema ya bure kufuatia uamuzi wake wa kujitosa kwenye maji…
