The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

kiba

Darassa: Namheshimu Alikiba

RAPA Darassa amefunguka jinsi ambavyo wimbo wake #ProudofYou alioimba na Ali Kiba ulivyofanyika ambapo pia ameeleza kuwa wimbo huo ulikaa takribani mwaka mzima ndani bila kuuachia. kwenye #PlanetBongo ya East Africa Radio #Darassa…

Kiba Awalaza Watu na Viatu

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anadaiwa kuwalaza na viatu mahasimu wa kimuziki baada ya kufanya maajabu makubwa. Achana na yale mamilioni aliyozoa kupitia Serikali ya Tanzania chini ya mwavuli wa Chama cha Haki Miliki (COSOTA)…

Mastaa Waliooa Pisi Kali

ASILIMIA kubwa ya vijana wanaamini kuwa wasichana wazuri ni nadra sana kuolewa au kupata mume wa kueleweka kutokana na sababu wanazozijua wao. Wapo ambao wanadai kuwa mwanamke akiwa mrembo kupitiliza; siku hizi wanaitwa…

Ukaribu wa Kiba, Maua Gumzo

UKARIBU wa mastaa wawili wakubwa wa Bongo Fleva, King Kiba na Maua Sama umeibua gumzo kama lote. Walianza kwa kusambaa kwa picha yao ya pamoja kabla ya Maua kwenda kufanya shoo ya kiwango kwenye ziara ya kimuziki ya Kiba jijini Mwanza.…

Mirabaha ya Wasanii Gizani

SERIKALI ilisema itaanza kulipa mirahaba ya kazi za wasanii kuanzia Desemba mwaka huu kupitia makusanyo yatakayopatikana kwenye vyombo vya habari vitakavyotumia kazi zao lakini hadi sasa siku tatu zimesalia mwaka ukatike na mambo ni…

Kiba Atangaza Bonge la Tour

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake ambayo ameipa jina la #OnlyOneKingTour ambapo tour hiyo itazinduliwa rasmi jijini Mwanza. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kiba ameandika; "One month after…

Kiba: Sikumwalika Shilole

SIKU chache baada ya mwanadada Esha Buheti kutangaza kujiweka kando kumsapoti Alikiba kwa kile alichodai kutothaminiwa na mwanamuziki huyo licha ya kumpa ushirikiano katika kazi zake mbalimbali, kufuatia sintofahamu ya hivi karibuni…

Tanasha Mikononi mwa King Kiba

BAADA ya pati ya kusikiliza Albam ya Only One King ya King Kiba kufanyika jijini Dar, wikiendi iliyopita ilikuwa ni zamu ya kusikilizwa nchini Kenya na ndipo msanii huyo akakutana uso kwa uso na baby mama wa Diamond, Tanasha Donna.…

King Kiba Adaiwa Kuuza Silaha

MIONGONI mwa habari kubwa kwenye muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, ni tangazo la Mfalme Ali Saleh Kiba au King Kiba kutambilisha rasmi jina la albam yake iliyosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake inayokwenda kwa jina la Only One…