Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga kidato cha 5 na Vyuo
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema wanafunzi 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu.
Jafo alisema idadi hiyo ni kati ya…
