The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Kimataifa

Mugabe alazwa hospitali Singapore

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amelazwa hospitalini nchini Singapore, amesema Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa, katika taarifa aliyotoa japo hakusema ugonjwa unaomsumbua Mugabe. “Mugabe yuko hospitali nchini Singapore…

DAVIDO AWEKA REKODI HII

MKALI wa muziki Ni ­geria, Davi­do amewe­ka rekodi nchini humo kwa kuwa mwanamuziki wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 9 katika ukurasa wake wa Instagram.  Kwa sasa Davido ndiye staa anayekimbiza kwa wafuasi hao akifuatiwa na Wizkid…

SNOOP DOGG APATA MJUKUU WA KIKE

MKONGWE wa Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Snoop Dogg amepata mjukuu wa kike akiwa na umri wa miaka 46, baada ya awali kupata mjukuu wa kiume aliyefahamika kwa jina la Zion Kalvin kutoka kwa mtoto wake Corde Broadus. Snoop…

TARAJI HENSON MIMBA NDII!

NANI alikwambia ukianza kuzeeka ngumu kuzaa? Sikia hii; Staa wa Tamthiliya ya Empire anayetumia jina la Cookie, Taraj P. Henson licha ya kugonga miaka 47, anadaiwa kunasa ujauzito wa mumewe, Kelvin Hayden.  Mtandao wa Media Take Out…

TOP 8 MISS AFRICA 2018

THULISA KEYI (SOUTH AFRIKA) Thulisa Keyi huyu ndiye namba moja kwenye lisiti hii. Ni mrembo aliyeshinda kinyang’anyiro hicho kilichofanyika mwishoni mwa mwezi Mei kwenye Ukumbi wa Sun Arena katika Jengo la Time Square, Pretoria na…

WIZKID KUMVUTA P-DIDDY NIGERIA

STAA wa muziki kutoka Kenya, Wizkid amefanikiwa kumshawishi rapa mkongwe kutoka Marekani, P Diddy kwenda nchini Nigeria. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wizkid anayebamba na Albamu ya Sounds From The Other Side aliweka kipande cha…

BEYONCE MIMBA TENA

STAA wa R&B, Beyonce Knowles anadaiwa kuwa na ujauzito tena ikiwa imepita mwaka tangu ajifungue pacha na mumewe ambaye pia ni mwana -muziki wa Hip Hop, Shawn Carter ‘Jay Z’. Tetesi za kuwa na ujauzito zilianza kusambaa…