Alikiba Ameahirisha Shoo zake Nchini Marekani Baada ya Kukutwa na Maambukizi ya Korona (Uviko-19)
MSANII nguli wa mziki wa kizazi kipya(Bongo fleva), Alikiba ameelezea masikitiko yake baada ya kulazimika kuahirisha shoo zake alizozipatia jina la ‘The Only One King’ zilizotazamiwa kuanza Septemba 2, mwaka huu katika majiji mbalimbali…
