Mjane wa Kobe Bryant Alipwa Dola Milioni 16 baada Picha za Mumewe Kuvujishwa
BAADA ya picha za mwili wa aliyekua nyota wa mpira wa kikapu wa Marekani Kobe Bryant kuvujishwa na naibu afisa wa polisi ambaye alisambaza picha hizo kwenye mitandao. Hivyo mahakama imeamuru Mke wa marehemu Kobe alipwe dola milioni 16…
