Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga Kapangwa na Hawa Wababe… Atatoka?
Baada ya Klabu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga) kutolewa katika michuano ya Club Bingwa Afrika na Zanaco FC ya Zambia na kuangukia Kombe la shirikisho barani Africa, leo Machi 21, 2017 shirikisho la soka barani Afrika CAF…
