Uhispania, Morocco na Ureno kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2030
Morocco, Uhispania na Ureno zimetajwa kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia la soka mwaka 2030, huku Uruguay, Argentina na Paraguay wakiwa wenyeji wa mechi za ufunguzi kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo, shirikisho la soka duniani FIFA…
