Man United Yatinga Fainali Europa Kibabe
Manchester, Uingereza
HATIMAYE sasa fainali ya Kombe la Europa ni Manchester United dhidi ya Ajax mjini Stockholm kwenye Uwanja wa Friends Arena, Mei 24. United na Ajax zimefuzu kwenye fainali hiyo baada ya kuchomoza na…
