Kiungo Aitabiria Simba Ubingwa Wa Kagame
KIUNGO mshambuliaji chipukizi wa Simba, Rashid Juma, amesema kuwa upana wa kikosi chao unawapa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Kagame.
Simba imemaliza Kundi C la michuano hiyo ikiwa kinara na pointi zake saba sawa na…
