Misri: Shirikisho La Soka La Afrika Lathibitisha Kombe Kupotea
Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri, EFA, Ahmed Shobir amesema kombe la AFCON limepotea katika makao makuu ya Shirikisho hilo.
Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON lilikuwa limehifadhiwa Misri baada ya timu…
