SHAKA SSALI KUONGOZA KONGAMANO LEO
MTANGAZAJI wa kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) ambaye ni mhariri wa idara hiyo na mtangazaji wa Kipindi cha Straight Talk Africa, Shaka Ssali leo (Septemba 2) anatarajiwa kuwa kati ya waongozaji katika…
