Mwanafunzi IFM Amfanyia ‘Sapraizi’ Shigongo
Mwanafunzi wa IFM, Yusuph Abas akimkabidhi Eric Shigongo picha yenye sura yake aliyoichora kwa mkono wake.MWANAFUNZI wa Mwaka wa kwanza katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) cha jijini Dar es Salaam, Yusuph Abas amemfanyia 'Sapraizi'…
