Kontena Lamwangukia Dereva Bodaboda na Kufa
MTU mmoja ambaye ni Dereva Bodaboda anasadikiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na kontena lenye nafaka katika eneo la Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.
Mtu huyo ambaye jina lake halijatambulika mara moja inaelezwa kuwa…
