Korea Kaskazini Yarusha Satelaiti Yake ya Kwanza ya Kijasusi
Korea Kaskazini imesema imefanikiwa kuweka satelaiti yake ya kwanza ya kijasusi kwenye anga ya juu ya dunia Jumanne jioni na kuapa kusafirisha nyingine kadhaa katika muda mfupi ujao.
Shirika rasmi la habari la Korea Kaskazini KCNA,…
