YANGA YAMNASA MBADALA WA DONALD NGOMA KUTOKA BENIN
YANGA ni kama imejibu mashambulizi baada ya juzi usiku kumshusha mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Benin na Klabu ya Buffles du Borgou FC ya nchini huko, Marcelin Degnon Koukpo na jana usiku alitarajiwa kusaini mkataba wa…
