Kourtney Kardashian achekeshwa jina la mtoto wa Kim
Kourtney Kardashian.
DADA wa kwanza wa mwanamitindo na mtangazaji wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kourtney Kardashian ameibuka na kudai alichekeshwa na jina la Saint West aliopewa mtoto wa pili wa Kim.…
