MAMA AUA WANAYE 6 KWA MAPANGA, NAYE AUAWA!
WATOTO sita wameuawa na wanne wamejeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Nana Maganga (35 ) anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili huku mwanamke huyo ambaye ni mkazi wa kijiji cha Luzuko kata ya Mizibaziba…
