Mwili wa Mbunge Bilago Waagwa, Karimjee Dar- VIDEO
MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma (CHADEMA), Kasuku Bilago aliyefariki dunia juzi Jumamosi, umeagwa Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma kuagwa na wabunge wote.…
