IMEFICHUKA! SABABU YA MAKABURI KUFUKULIWA, MAITI KUDHALILISHWA!
WANAFUKUA makaburi na kuzifanyia udhalilishaji maiti kwa sababu gani? Ni swali ambalo wengi wangetamani kupata majibu yake; ambapo UWAZI linakuja kufichua kilicho nyuma ya matukio ya aina hiyo.
Wiki iliyopita wananchi wa Jiji…
