Wanaliowafumania Wapenzi na Kusambaza Picha za Utupu Wanaswa
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi wa…
